Sunday, 7 May 2017

Breaking News:Habari za hivi punde toka morogoro dumila Kutoka mvomelo ukipita bamsi kabla hujafika makunganya kuna basi eicher imegongwa na lori hali mbaya sana

*Habari za hivi punde toka morogoro dumila*
Kutoka mvomelo ukipita bamsi kabla hujafika makunganya   kuna eicher imegongwa na lori   hali mbaya sana

Tumwombe  Mungu atupiganie


Taarifa kamili badae
Tusubili jeshi la polisi
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ










No comments:

Post a Comment