#Orodha Kamili Ya Wahanga Wa Ajali Karatu!!, Matukio katika picha yaliyojiri Arusha..Serikali Yatoa Angalizo Kwa Watanzania Wote Soma Zaidi Hapa
Kweli hiki ni kipindi kigumu kila mtanzania anapaswa kutambua kwamba hali si nzuri! Usalama barabarani ni hofu tupu! serikali imetoa angalizo kwa Raia wote Kuwa makini barabarani ili kuondoa Ajali!! Tujitahidi kuwa makini na vyombo vya moto.
No comments:
Post a Comment