Friday, 17 November 2017

WARAKA WA MISHAHARA MIPYA 2017/2018

Kumekuwepo na sintofahamu juu ya badiliko la mshahara kwa watumishi wa asasi mbalimbali kulingana na mfumo mpya wa mshahara. Badiliko ambalo yawezekana likaanza kutumika mwezi wa Julai.Mliozoea kujipangia mishahara na kujilipa marupurupu mwisho umefika, mliokua mnapokea milioni 40 acheni kazi.Maana haiwezekani mwingine alipwe milioni 40,30,20,15, halafu mwingine laki 3. MSHAHARA MPYA 2017. 1.TGTS A1-546,000 2.TGTS B1-694, 000 3.TGTSC1-782,500 4.TGTS D1-939,000 5.TGTS E1-1,319,000 6.TGTS F1-1,653,000 7.TGTS G1-1,970,000 8.TGTS H1-2,584,000 9.TGTS I1-2,865,000 Fuata muundo huu wa wa vyeo kutegemeana na idara unayofanyia kazi. TGS A1 746,000 TGS B1 894.000 TGS C1 982,500 TGS D1 1,139,000 TGS E1 1,219,000 TGS F1 1,4053,000 TGS G1 1,670,000 TGS H1 1,884,001 TGS I 2,665,000. Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka IJUMAA. Inaanza kutumika Julai 2017. Kwa wale ambao wanafanyia idara zinazo jipangia mshahara wategemee mabadiliko kwani mshahara unaendelea kufanyiwa mapitio. Link://Dinow/swah/(header... Tanbihi: Ingia kwenye tovuti ya serikali ilikupata habari za uhakika kamwe usifanyie kazi thread zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijami

No comments:

Post a Comment