Ajali ya basi la champion lililokuwa linatoka Arusha kuelekea Dodoma mda huu baada ya dereva wa basi la champion kujaribu Ku overtake basi la shabiby na hatimaye kutaka kuvaana na tipa la mchanga na baada yake kubinuka ila cha kumshukuru mungu wote wazima ila majeruhi ndo wengi. KAMA HUNA ROHO NGUMU USIZITAZAME PICHA HIZI
No comments:
Post a Comment