Sunday, 26 February 2017

ALICHOSEMA RIDHIWANI KIKWETE BAADA YA KUKUTANA NA LOWASSA UWANJA WA TAIFA JANA


Baada ya Jana Ridhiwani Kikwete Kukutana na Edward Lowassa Uwanja wa Taifa na Kupiga nae Stori kidogo amefunguka haya kwenye ukurasa wake wa Twitter:
"Siasa ni Shule ambayo haina kikomo. Tusichoke kujifunza. Mimi nahisi bado niko shule ya Msingi na ninaendelea kujifunza.#siasasivita" Ridhiwani

No comments:

Post a Comment