Friday, 20 January 2017

SEMINA YA NENO LA MUNGU YA MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE SIKU YA IJUMAA TAR 20. 01. 2017


Somo: Tumia akili kiroho ili ufanikiwe katika maisha.
Mungu aliitaji mtu mmoja mwenye akili atakayeokoa watu kiroho.Kuna watu wengi wenye akili lkn ni wachache wenye akili na Roho Wa Mungu na hekima ya Mungu.Wana Wa Israel hawakuzuiwa na majitu au shetani kuingia kanaani Bali ni akili zao.Hakuna MTU aliyeumbwa ambaye hana akili Bali unaziweka pembeni hajajitoa kwa ajili ya Mungu akutumie.
Hatua ya kukuwezesha kuzitumia akili zako.
1.Toba.
3.Batilisha fikra za kitoto na uamue kukua 1kor13:11alikuwa na ufahamu Wa kitoto ndo akasema kama Mtoto.1kor14:20utoto unaozungumzwa sio Wa mwili.ni utoto Wa akili unaozungumziwa.
Efeso4:14
1kor3:1-9
Ebrew 5:14chakula kigumu ni cha watu wazima.
MTU ambaye si warohoni hayatambui mambo ya Rohoni.
Usilisifie gari ambalo hukai ndani yake.
4.Fahamu mahali pakuanzia kutafakari ili yoshua 1:8 itimie kwako.siri kubwa ipo katika kutafakari kabla ya kusema.anzia mahali ambapo biblia inasema anzia.mfano1tim2:1-3kabla ya mambo yote nataka dua,maombi na shukrani.
Siri ya utakatifu ni kukataa maovu.
Mfarisayo alimuuliza Mungu amri kuu ni ipi mathayo22:34-40.Ukimpenda Mungu unatengeneza heshima ya Mungu.kama unataka kuishi katika utaratibu Wa Kimungu jifunze kutafakari.
Mathayo6:24-34
Huyu ni Yesu mwenyewe anayesema utafuteni ufalme Wa Mungu kwanza angekuwa mkuu Wa kanisa tungemweka kikao.hakusema tafuta Mfalme Bali ni kutafuta Mfumo Wa kifalme kwa njia ya kutafakari.
Luka 17:20-21
Ufalme Wa Mungu upo ndani yetu.Ukitegemea uchumi Wa mbinguni Mungu atakusaidia kushungulika na wategemezi wako hata  kama mshahara Wa Kampuni hautoshi.
Barikiwa sana uliyesoma elimu hii.
Amina.

No comments:

Post a Comment