TUMIA AKILI KIROHO ILI UFANIKIWE KIMAISHA
1. Akili ni Eneo ndani ya Nafsi ya Mtu lililoumbwa kwa mfano wa Mungu
Mithali 3:19
1Yohana 5:20
2. Mungu anataka tujifunze nini kuwa alitumia Akili kuzifanya Mbingu
Mithali 3:19-20
Ayubu 38:33
Mathayo 5:34
Hosea 2:21-22
Mwanzo 1:1
-Aina ya Maisha
-Viwango vya Maisha
-Vipaumbele vya Maisha kufuatana na Amri za Mungu
3.Akili zinatumia Fikra ili zifanye majukumu yafuatayo:
-Kusaidia kuelewa mambo KiMungu
Luka 24:44-49
-Kupanga matumizi ya kipato au Rasilimali ulizonazo kwa kuzingatia vipaumbele vifuatavyo:
°Muda wa sasa na baadaye
°Mahitaji
°Mazingira
-Kupambanua Mema na Mabaya
Waebrania 5:14
2 Wakorintho 4:4-5
Mithali 23:7a
Kuzitegemea Akili, huondoa unyenyekevu wa Kupambanua Mema na Mabaya kupitia Roho Mtakatifu
Mwanzo 41:32-33
1Wakorintho 13:11-12
Ee Mungu nifundishe kunyenyekea hemani mwako ili nifikie Viwango ulivyonipangia!
Unatumia kitu gani kupambanua Maisha yako? Viwango na Vipaumbele?
Je Unaruhusu Akili zako Zitumie kitu gani? Je ni Dini au ni Mila
Usipojua kupambanua Maisha yako, Shetani ataharibu Fikra zako na ushindwe kufikia Viwango Mungu alivyokupangia.
Chagua Maisha Mungu aliyokupangia kwani kuna BARAKA ndani mwake.
My Prayer:
Mungu naomba unipe Ufahamu na Kiu ya Kutafuta Aina, Kufikia Viwango na Vipaumbele ya Maisha uliyonipangia.
Roho wa Mungu nifundishe kutumia Akili kufikia yale yote uliyoyakusudia katika Maisha yangu.
Amen
BARIKIWA NA BWANA
No comments:
Post a Comment