Thursday, 5 November 2015

RAIS WA AWAMU YA TANO AMEAPISHWA LEO TAREHE 05.11.2015

RAIS WA AWAMU YA TANO AMEAPISHWA LEO TAREHE 05.11.2015

Atimaye watanzania washuhudia kuapishwa Rais wa awamu ya tano ndugu John Pombe Magufuri
Ilikuwa sherehe ya aina yake, Gwaride ,Ngoma za asili, Wasanii mbalimbali walitumbuiza ili kusherehesha na kuwapa burudani wageni waarikwa.

Hata hivyo mara tu baada ya yakuapishwa na kukabidhiwa ikulu alianza kaza mara moja kwa kumwapisha ndugu George Masaju kuwa mwanasheria mkuu wa serikali ya awamu ya tano.

No comments:

Post a Comment