Kulingana na hotuba ya Dr Slaa ya Leo tarehe 1 Sep 2015 watanzania inabidi tuwe makini na swala nzima la kuchagua Kiongozi atakayetupeleka Mbele; kutuvusha katika dimbwi hili la umaskini ; mwenyewe huruma na taifa letu. Tusifanye makosa tena maana umaskini ,maradhi na ELIMU duni kweli vinauma. CHAGUA JOHN POMBE MAGUFULI
No comments:
Post a Comment