Form Five Second Selection 2017/2018 - Selection Awamu Ya Pili Kidato Cha Tano
Form Five Second Selection 2017/2018 - Selection Awamu Ya Pili Kidato Cha Tano 2017/2018 - Tamisemi
Selection Ya Pili Kidato Cha Tano 2017
Exam Day Preparation - what to do on the day of exams.
TAARIFA KWA UMMA |
Ofisi ya Rais – TAMISEMI inapenda kuwajulisha wananchi juu Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano kwa Awamu ya Pili kwa mwaka 2017. Wanafunzi hawa wataanza muhula wa kwanza wa masomo tarehe 24 Agosti, 2017na hakutakuwa na mabadiliko yoyote ya shule. Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti hadi tarehe 08 Septemba 2017 ambayo ndiyo siku ya mwisho ya kuripoti, atakuwa amepoteza nafasi. Mwanafunzi mara uonapo jina lako kwenye tovuti ya Ofisi ya Rais -TAMISEMI kwamba umechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano, inabidi ku-download fomu ya kujiunga na shule husika (joining instructions).
Imetolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –TAMISEMI
23 Agosti, 2017 |
1. DOWNLOAD MAJINA YOTE HAPA SELECTION FORM FIVESECOND SELECTION2017/2018 - (Awamu ya Pili Na Shule Walizopangiwa) Hot New Updates
2. FORM FIVE JOINING INSTRUCTIONS 2017/2018 -New Updates Hot
3. DOWNLOAD MAJINA YOTE HAPA SELECTION FORM FIVE 2017/2018 - (Awamu ya kwanza) New Updates
4. DOWNLOAD MAJINA YOTE HAPA FORM FIVE SECOND SELECTION 2017/2018 - (Awamu ya pili) New Updates
5. FORM FIVE SELECTION 2017/2018 - JOINING INSTRUCTIONS - New Updates
6. DOWNLOAD MAJINA YOTE HAPA SELECTION FORM FIVE2016/2017
7. FORM FIVE SELECTION 2016/2017 - JOINING INSTRUCTIONS
8. DOWNLOAD MAJINA YOTE HAPA SELECTION FORM FIVE2015/2016
9. NYONGEZA AJIRA YA WALIMU AWAMU YA PILI 2017 - TAMISEMI
OTHER IMPORTANT LINKS
NACTE SELECTION FOR ACADEMIC YEAR 2017/2018 -New Updates
TCU - Change of Procedure for Admissions to Undergraduate Programmes for 2017/2018 Academic Year - New Updates
PAST PAPERS FOR RIVISION / Form two past papers, Form four past paper, Form six past papers (Rivision Made Simple)
Message of hope to young people - Once you begin that walk, others will find you and walk with you...
TAMISEMI Form Five Selection 2017/2018
TARATIBU ZA UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI KWA MWAKA 2017 |
Kwa mujibu wa mwongozo wa uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na Kidato cha Tano, mwanafunzi anayeomba kuchaguliwa kuendelea na Elimu ya Sekondari ya Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi hulazimika kujaza fomu ya uchaguzi Selform ambayo ndiyo fomu rasmi ya maombi ya kuchaguliwa. Kwa kutumia fomu hiyo, mwanafunzi hujaza machaguo matano ya tahasusi (Combinations) za masomo anayotaka kusoma na Shule anayoipenda kujiunga nayo kwa kila chaguo. Kwa kuzingatia utaratibu huo, Mfumo wa kieletroniki wa Uchaguzi hutumika kumpanga mwanafunzi katika machaguo yake ya masomo na Shule kwa kuanzia na chaguo la kwanza hadi la tano kulingana na kiwango cha ufaulu wa mwanafunzi. Mfumo humpangia mwanafunzi chaguo la tahasusi aliyofaulu zaidi kuliko machaguo mengine. Kwa mwaka huu 2017 Uchaguzi na upangaji wa wanafunzi wa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi umezingatia mwongozo wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wa tarehe 15 Mei, 2017. Mwongozo huu unaelekeza kwamba, kigezo cha mwanafunzi kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi ni; i) AAA hadi CCD kama cut off point kwenye masomo ya tahasusi ii) Credit 3 na pointi zisizopungua 25 kwenye Daraja, iii) Machaguo yaliyojazwa na mwanafunzi kwenye selform. iv) Nafasi zilizopo katika Shule husika |
No comments:
Post a Comment