1/Mimi nimekusanya kodi za watanzania, nimekupeleka shule bure, bado ukapate mimba bure urudi shule, hapana. Fuata kilichokupeleka shule- Rais Magufuli
2/Ni lazima tusimame kama wazazi tusiharibu maadili yetu. Sio kwamba nawachukia wenye mimba, lakini waende kwenye shule zitakazowakubali- Rais Magufuli
3/Mimi nimekaa Ulaya, kule watoto wao hawapati mimba, lakini wanataka sisi tupate mimba ili tushindwe kusoma na kuja kuitawala dunia- Rais Magufuli
4/Katika uongozi wangu mimi, nimesema hapana. Na Mkuu wa Shule nikijua umempokea mtoto ambaye amejifungua, nakuhakikisha hautabaki hapo- Rais Magufuli
5/Wengine wanasema wamebakwa, sisi ni wabakaji sana? Wengine walikuwa wanafanya umalaya Coco wakakatwa juzi, wale utasema walibakwa?- Rais Magufuli
6/Mimi naziomba sana hizo NGOs zinazowatetea sana wanafunzi wenye mimba. Zifungue shule watakazowachukua watoto hao lakini si serikali- Rais Magufuli
7/Waache wapige kelele wee, lakini mimi ndio Rais na nimeshasema kwamba watoto wenye mimba shule hapana. Wafuate kilichowapeleka shule- Rais Magufuli
No comments:
Post a Comment