Wednesday, 5 April 2017

WAZIRI SIMBACHAWENE: WATUMISHI/WALIMU WASITEGEMEE KUPATA NYONGEZA YEYOTE ILE KWA MWAKA HUU WA FEDHA 2016/2017

Serikali kupitia kwa waziri wake Mh. Simbawachene amesema watumishi wasitegemee kupata nyongeza yoyote kwa mwaka wa fedha 2016/2017.

Amesema labda madaraja sawa ila hilo la nyongeza na increment hatafanya .

Hadi sasa viongozi wa chama C. W. T wanatafuta namna ya kumwendea wakamuulize baada ya waziri kudai maswali mengine yeye hana majibu ila Rais mwenyewe. 

 
[​IMG][​IMG]

No comments:

Post a Comment