Sunday, 23 April 2017

KAMPUNI YA KTANZANIA YA KUTENGENEZA VIFAA VYA MICHEZO

Inawezekana Tanzania ikaingia kwenye headlines mpya kutokana na vijana wa kitanzania kuamua kuanzisha kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo kama ilivyo kwa kampuni za nje zaPumaNikeAdidasUmbro,Macron na nyinginezo ambazo zimekuwa zikitengeneza jezi na vifaa vya timu mbalimbali.
Kampuni ya Speshos Sport Bongoambayo ipo chini ya umiliki yaJeffrey SpeshosRamadhani MungaJeff LeaMuddy Sebene,Ally Kilingo na Charles Mungi ipo katika mazungumzo na vilabu vitano vya Ligi Kuu ili kuanza kuvipatia bidhaa za kampuni hiyo kuanzia msumu ujao,

No comments:

Post a Comment