Wafuasi wa mrimbwende aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ambao mitandaoni wanajiita “Team Wema” wameamua kujiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kuonesha kumuunga mkono mwanadada huyo.
Tukio mubasahara linaendelea muda huu nyumbani kwa Wema Sepetu ambaye muda wowote akuanzia sasa ataongea na vyombo vya Habari kueleza kila kitu juu ya kujiunga kwake na chama hicho na mambo mengine yanayomkabili.

No comments:
Post a Comment