Tuesday, 21 February 2017

TANGAZO YAH: KUKANUSHWA KWA HABARI KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI UINGEREZA



»»Husika na kichwa hapo juu,  Habari hii imekanushwa!

Chanzo cha Habari hiyo kilikuwa ni mtandao wa METRO wa nchini Uingereza ulioandika Habari hiyo kupitia Link hii👇🏽👇🏽

http://metro-uk.com/diamond-platnumz-arrested-at-london-heathrow-airport-with-2kg-of-cocaine/

TUENDELEE KUSHIRIKIANA WANDUGU.....

Imetolewa na:-

Archandramu Mbungu

(www.archandramu.com)

No comments:

Post a Comment