Thursday, 16 February 2017

BREAKING NEWS: SERIKALI IMEVIFUTA VITUO VYOTE VYA HUDUMA ZA AFYA YA VVU NA UKIMWI

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa habari
Serikali kupitia Wizara Ya Afya imevifuta Vituo vyote vinavyotoa huduma za Afya ya VVU Na Ukimwi kwa Makundi Maalum baada ya kubainika kwamba Vituo hivyo vinahusika na kuhamasisha Mapenzi ya Jinsia Moja na Ushoga.

No comments:

Post a Comment