Mtunzi Jimmy Luoga
SEHEMU:5
ILIPOISHIA:
Tulimuona msichana Rose akitangazwa kuwa mshindi wa pili aliyefanya vizuri mtihani kitaifa akiongozwa na Emmanuel kijana ambaye alitokea kumpenda kuliko wavulana wote.Afisa Elimu Wilaya ya Mbinga anakwenda nyumbani kwa kina Rose na kutoa mwongozo juu ya safari nzima ya wale vijana kumi akiwemo na Rose.Binti huyo anafurahi kwani anaamini kuwa ndoto yake ya kukutana na Emmanuel inajirudia kwa awamu nyingine.Je Emmanuel na Rose watakutana?
SASA ENDELEA.....................................
Kwa upande wangu niliona siku haziendi, ijapokuwa nilifanya vizuri katika mtihani ule na kutangazwa kuwa nilikuwa mshindi wa pili kitaifa, lakini lengo langu kuu lilikuwa kumuona Emmanuel tu.Jambo lingine lilinifanya nimpende Emmanuel ni kutokana na tabia yake nzuri aliyonionyesha kwa wakati wote niliokuwa nawasiliana naye kwa barua kipindi tupo shuleni.Siku moja kabla ya safari nilitumwa na Mama dukani kwenda kununua mafuta ya taa, ilikuwa majira kama ya saa kumi na moja hivi jioni, kutoka mtaa niliokuwa naishi mpaka dukani ilikuwa kama mita mia moja na kidogo hivi.Nilikuwa natembea kwa haraka jambo lililopelekea baadhi ya wanaume wanipigie mbinja, nilikuwa nachukia hiyo tabia lakini nilipomuuliza Dada angu wa kazi za ndani alinijibu kuwa niliumbika haswa kiasi cha makalio yangu kutingishika wakati natembea, sikujali niliingia dukani mara baada ya kupimiwa mafuta nilishtuka sauti ya kiume ikiliita jina langu, "He! Edward upo Mbinga kumbe?..." nilijikuta nikipigwa na butwaa kwani Edward nilisoma naye darasa la kwanza mpaka la sita, nakumbuka siku moja tukiwa darasa la sita aliniandikia barua ya kuniomba niwe mpenzi wake, niilipeleka kwa mwalimu mkuu huku nikiwa nalia, Edward aliadhibiwa mbele ya wanafunzi wote kisha akaambiwa aniombe msamaha.Toka hapo mimi na kijana huyo tukawa hatupikiki chungu kimoja, tulipishana bila kusalimiana mpaka matokeo ya darasa la saba yalipotoka sikufuatilia hata alikofaulu. "Nipo Rose habari za miaka mingi pia hongera kwa kuwa mshindi wa pili kitaifa..." Edward aliongea kwa upole utadhani mtu aliyesomea upadre, nilimtazama mvulana huyo ambaye aliomba anisindikize mpaka nyumbani, nilimkubalia lakini nilimwambia mita chache kabla ya kufika nyumbani tungeachana kwakuwa sikutaka kuonyesha tabia mbaya kwa wazazi wangu.Edward aliafiki wazo langu huku njiani tukiongea hili na lile, "vipi sasa wewe kidato cha sita umehitimu wapi?.." nilimuuliza akanijibu kuwa alihitimu Tosamaganga, nilimpa pongezi kwakuwa naye alipata daraja la kwanza."Rose naomba usinichukie, pia naomba tuendelee kuwa marafiki...", Edward alibembeleza mwisho nikamwambia kuwa nimekubali kuwa rafiki yake lakini sio kivingine, nikampa na onyo iwapo angenitamkia kuwa ananihitaji kimapenzi ningekata mawasiliano naye.Edward alifurahia sana majibu yangu na kunihaidi kuwa nami bega kwa bega kwa mambo mengine lakini sio suala la mapenzi.Baada ya kufika karibu na nyumbani kijana huyo nilimuomba aishie hapo kisha nikaingia ndani.Zilipita siku kadhaa bila kuonana na Edward na ikumbukwe kuwa kwa wakati ule miaka ya tisini simu za mkononi hazikuwepo hivyo jambo la kuonana lilikuwa la bahati nasibu, nakumbuka nilikuwa nimekaa peke yangu chumbani nikifikiria siku ya kwenda Dodoma ambako ningekutana na Emmanuel ambaye ndiyo niliamini bikra yangu ilikuwa halali yake ghafla mlango uligongwa akaingia Dadangu wa kazi, "Rose una mgeni wako yupo sebuleni, nilishtuka kwani sikuwahi kutembelewa na mgeni pale nyumbani. "Vipi ni wa jinsia gani dada?...." nilihoji, "Ni wa kiume nenda tu utamkuta..." nilitoka chumbani haraka mpaka pale sebuleni, nilihisi kuishiwa nguvu nilipomuona John akiwa ameketi pale kochini, nilijikuta nikimkumbatia John mvulana ambaye alinifuatilia kwa udi na uvumba nilipokuwa shuleni."Ni wewe John kweli au naota?......" niliuliza mara tatu mfululizo, "Ni mimi ndiye hata haujakosea..." tulisaliamiana kwa furaha huku nikimuuliza alitokea wapi?, John alianza kunisimulia taratibu, mimi naishi Songea mjini najua wazi sikukuambia kuwa natokea mkoa gani kwakuwa sikupata nafasi ya kuzungumza nawe.Ila kilichonileta hapa kwako ni barua ambayo nimetumiwa na Emmanuel toka Kahama nikuletee, yani alipolitaja tu jina la Emmanuel sikuwa na haja ya kupoteza muda zaidi ya kuichukua barua na kuifungua kisha nikaanza kuisoma.Barua ya Emmanuel ilianza kwa salamu kisha akaanza kueleza masikitiko yake ya kutokutana nami japo nilimuhaidi, lakini aliendelea kuhimiza nisidiriki kumsaliti kwani hakuna msichana mwingine aliyetokea kumpenda dunia hii kama mimi, aliongeza kuwa anatarajia kunikuta kama nilivyomuhaidi kuwa mimi ni bikra na yeye ndiye ninayemsubiri kuitoa bikra hiyo mara baada ya ndoa yetu.Mwisho alinipongeza kwa kufanya vizuri katika mtihani wangu na kuniomba mara niendapo Dodoma tutafutane japo tuzungumze maneno mawili.Mara baada ya kumaliza kuisoma barua hiyo nilijikuta nikirukaruka kwa furaha, John aliniangalia kwa mshangao huku akiachia tabasamu la kuonyesha kuwa mimi nilishakuwa shemejie.Mara baada ya chakula John aliaga nikamsindikiza na kuhaidiana naye kuwa tungeonana Dodoma, baada ya kuwasili stend John aliingia kwenye basi kisha tukaagana akaondoka.Niliporudi nyumbani niliirudia tena kusoma barua ile tena na tena.Siku hiyo nilikuwa na furaha mpaka mama yangu aliniuliza kulikoni lakini nikamficha.Siku moja kabla ya safari Edward aliomba nimtembelee kwao japo nikapafahamu vizuri, kutokana na kumuamini kijana huyo sikupinga, Edward alikuwa anaishi kwenye nyumba za Kiwanda cha Kahawa kwakuwa Baba yake alikuwa Mkurugenzi wa kiwanda hicho, nakumbuka ilikuwa siku ya jumamosi majira ya saa 5 asubuhi nilikuwa nikiingia pale sebuleni kwa kina Edward, sebule lilikuwa zuri na kubwa lenye mahadhi na samani nzuri.Kwa kipindi hicho naweza kusema kuwa pale ndani palikuwa na ubora kuliko nyumba nyingi nilizotembelea Mbinga, nyumba ilikuwa kimya kabisa jambo lililopelekea niulize kulikoni palikuwa kimya vile?, Edward aliniondoa hofu kwa madai kuwa Wazazi wake wote walikuwa kazini na wadogo zake walikuwa mashuleni.Hivyo pale ndani tulikuwa mimi na Edward tu, aliniomba anipatie kinywaji nilikataa lakini mwisho nilikubali anipatie juice ingenitosha.Edward alichukua bilauri kabatini kisha akaniletea juice pale mezani.Niliifakamia ile juisi kwa raha zote kutokana na kiu niliyokuwa nayo, mara baada ya kumaliza bilauri ya pili nilijikuta nikianza kuona macho yangu yakiwa mazito, kila nilipojaribu kufumbua nilishindwa mwisho nikapitiwa na usingizi mzito, nilijiona kama nipo ndotoni nikiumia katika sehemu zangu za siri na hata kuna wakati nilihisi kujibu mapigo na mtu ambaye alikuwa kanilalia kwa juu akinifanya mapenzi bila kujijua.Mwisho nilipitiwa na usingizi mzito.Baada ya muda tena yule mtu aliendelea kufanya vilevile kisha akaniacha nilale.Mara ya mwisho nilihisi raha ya ajabu kwani nilihisi kuongeza bidii, niliota nikimuona Emmanuel akifanya mapenzi namimi kwa kasi nami nikamkumbatia kwa nguvu huku nikimjibu mapigo hata nilipoona juu akifaidi sana nilimgeuza na kumkalia kwa juu kisha nikamkatikia mauno ambayo sote kwa pamoja tulipiga kelele kwa sauti za kufika kileleni, nilihisi raha ya ajabu ambayo sikuwahi kuipata toka nizaliwe.Mwisho nilimlalia Emmanuel kifuani, "Vipi Rose umeinjoi mpenzi? ... " nilishituka kusikia sauti ya Edward ikiniuliza hivyo, niliinua macho na kutazama vizuri niliyemlalia kama alikuwa Emmanuel kweli au Edward.La hasha haikuwa ndoto tena bali ni ya kweli yote yaliyokuwa yakitendeka, nilinyanyuka na kujitazama nilitamani dunia ipasuke nidumbukie, nilikuwa uchi wa mnyama, pembeni yangu alikuwa Edward naye akiwa kama alivyozaliwa, nilipiga yowe la kuomba msaada lakini Edward aliwahi kuniziba mdomo, purukushani mule ndani lilichukua nusu saa mpaka mwili wangu uliishiwa nguvu, kama watu wanavyosema mwanaume ni mwanaume, nilijikuta nguvu zikiniishia na kumfanya Edward atumie nguvu zake zote mwisho nilijikuta nikifanywa kwa mara nyingine, awamu hii nilijikuta nikimtazama Edward akihangaika juu ya kifua changu lakini kadiri alivyozidisha utundu wake wakuzama ndani na kuibuka nilijikuta nikilia, kilio changu kilimfanya Edward azidi kuongeza kasi ambapo nilianza kuhisi raha isiyo na kifani na kujikuta nikimpa ushirikiano kwa kukata mauno amabayo hata sielewi nilijifunzia wapi, Edward alinipagawisha pale juu na kujikuta nikimuita kwa jina na kumuuliza ni nani aliyemfundisha yale mambo, kijana huyo hakujibu bali aliniambia kuwa alikuwa na uchungu na penzi langu kitambo toka enzi tupo shule ya msingi hivyo analipiza mpaka hadhabu ya vile viboko alivyochapwa siku ile, yaani alipotamka maneno hayo nilizidi kupata raha ya ajabu ambayo tangu nizaliwe sikuwahi kuipata, mwisho wote wawili tulifika kileleni huku tukipiga kelele na miili yetu kulowa jasho."Edward sorry for what happened before.." nilijikuta nikitamka maneno hayo huku nikimkumbatia vizuri, "Usijali Rose naomba nisamehe kwa kufanya nawe tendo la ndoa bila idhini yako..." Edward aliongea hayo huku akinibusu katikati ya paji la uso.Nilijikuta nikianza kumpenda Edward na kuanza kumsahau Emmanuel ndani ya saa moja la ziada nililokaa naye Edward.Majira ya saa kumi kasoro Edward alikuwa akinisindikiza nyumbani, njiani tuliongea na kupanga mengi kwani kesho yake ilikuwa ni safari yangu ya Dodoma ilikuwa inaanza rasmi, "Edward niahidi kuwa utanioa mpenzi!.." Edward akanijibu hata kama ingekuwa kesho alikuwa tayari.Niliachana na Edward nikimuhaidi kuwa ningerudi mapema baada ya zoezi la kupewa tuzo na scholarship huko bungeni.Siku hiyo nilirudi nyumbani nikiwa na furaha kuliko hata ile niloyopata barua ya Emmanuel, Baba aliniuliza kulikoni lakini nilimwambia kuwa nafurahia safari ya Dodoma.
**********************
Alfajiri ya siku iliyofuata Afisa Elimu alikuja kunichukua mimi pamoja na wazazi wangu, tuliingia kwenye gari na kuanza safari.Tulipofika Songea tuliingia kwenye Ndege ndogo ambayo iliacha mji wa Songea na kupasua hanga, kwa mara ya kwanza nilianza kufurahia kipaji changu cha Elimu kilichoifanya mpaka familia yangu kwa mara ya kwanza isafiri kwa ndege.Nakumbuka Songea tuliondoka majira ya saa 5 asubuhi lakini ilipofika saa 6 na robo tulikuwa tumeshaingia Manispaa ya Dodoma, nilifurahi lakini nlishangaa nikiwa sina hamu tena na Emmanuel bali Edward ambaye nilimuacha Mbinga.Tulipofika Dodoma moja kwa moja tulipelekwa Dodoma hotel kisha Afisa Elimu alimuita Baba pembeni wakateta jambo kisha akarudi kutuaga, nilionyeshwa chumba changu na mhudumu wa hotel hiyo upande wa nyumba ya kulala wageni.Niliingia chumbani kisha nikajimwagia maji na baadaye nilienda peke yangu upande wa hotel kisha nikaagiza soda na keki, nilipoanza kunywa ghafla mtu aliniziba macho yangu kwa nyuma..........
Je aliyemziba macho Rose ni nani? Ungana nami toleo lijaro uendelee kujua nini hatma ya simulizi yetu!
No comments:
Post a Comment