Tumekimbia kuanzia ofisi za CCM Mkoa wa mbeya mpaka mwanjelwa,
Tumepanda miti katika eneo la kabwe pale Mwanjelwa,
Baadae tukapata wasaha wa kukaa pamoja kati ya UVCCM na SHIRIKISHO kupongezana na kuzungumza machache kuhusu kuimarisha chama chetu katika ngazi mbali mbali, lakini pia tukapata chai pamoja.
Lakini pia baadae saa 10.00 jioni katika viwanja vya FFU maeneo sinde tutacheza mpira wa miguu kati ya SHIRIKISHO MBEYA vs UVCCM Mbeya mjini.
Mti wa kumbukumbu ukipandwa
Wakiwa barabarani katika maandamano
Mkuu wa Wilaya Mbeya akichimba shimo kupanda mti
CCM Mpya.........
TANZANIA Mpya...........
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Na:-
Oddo A. Ndunguru
K/Siasa na Uenezi
SHIRIKISHO - MBEYA.
No comments:
Post a Comment