19 JANUARY 2017
PAMOJA na makali ya njaa yanayoshuhudiwa katika sehemu kadhaa nchini humo, Serikali imetangaza kuwa kuna chakula cha kutosha kukidhi mahitaji ya Wakenya hadi Juni.
Waziri wa Kilimo nchini Kenya, Willy Bett, alisema juzi kuwa jumla ya magunia milioni 21 ya mahindi yaliyovunwa mwaka jana yatatumika kwa muda wa miezi mitano ijayo. Alisema hiyo ni pungufu ya magunia milioni tisa, ambayo yatapatikana kutoka vyanzo vingine. Akizungumza na wanahabari jijini Nairobi jana, Bett alielezea hofu yake kwamba huenda kukawa na uhaba mkubwa wa chakula kuanzia Juni. “Kwa sasa kuna chakula..
No comments:
Post a Comment