. *MUNGU YU HAI, HATA YU HAI MILELE!!*
*(1) Bernard Shaw,* wakati akivuta sigara yake, akapumua moshi kiasi fulani hewani na kusema: _“Mungu, hiyo ni kwa ajili Yako!”_ Alikufa katika maumivu makali sana akiwa na umri mdogo wa miaka 32 tu kutokana na saratani ya mapafu.
*(2) Mwandisi mahiri aliyebuni na kutengeneza meli ya Titanic,* baada ya kuimaliza kazi hiyo, mwandishi mmoja wa habari alimhojia kuhusu usalama wa meli hiyo. Kwa sauti ya dhihaka na kejeli, akasema: _“Hata Mungu Mwenyewe hawezi kuizamisha!”_ Kila mtu anajua lililotokea!
*(3) Marilyn Monroe (mwanadada mashuhuri na mwigizaji aliyebobea)* alitembelewa na mwinjilisti maarufu aitwaye Billy Graham, wakati wa moja ya mawasilisho ya maonesho yake. Billy alimweleza kwamba Roho wa Mungu amemtuma kwake ili amwambie habari za wokovu. Baada ya kusikiliza kile ambacho mtumishi huyu wa Mungu alitaka kumwambia, Marilyn akasema: _“Simhitaji Mungu wako!”_ Juma moja baadaye, alikutwa akiwa amekufa chumbani mwake! Taarifa zinasema kwamba alifariki kwa sababu ya kuzidisha vidonge vya usingizi! Mwandishi mmoja aliandika: “Kwa wengi, Marilyn Monroe ni mfano mbaya kabisa wa huzuni inayoambatana na umaarufu na uzuri!”
*(4) Bon Scott* alikuwa mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za kidunia. Katika mojawapo ya nyimbo zake, mwaka 1979 aliimba: _“Don't stop me; I'm going down all the way, down the highway to hell.”_ (Msinizuie; naelekea zangu chini, mbali kabisa, katika barabara kuu iendayo jehanamu.” Mnamo Februari 19, 1980, Bon Scott alikutwa amekufa, alikuwa amepaliwa na matapishi yake mwenyewe!
*(5) Katika Jiji la Campinas, mwaka 2005 nchini Brazili,* kikundi cha marafiki kadhaa waliokuwa wamelewa, waliondoka kwenda kumchukua rafiki yao mwingine. Mama yake binti huyo aliambatana naye, akimsindikiza kwenda kwenye gari, alihofu sana kwa sababu ya namna marafiki zake walivyokuwa wamelewa na alimwambia binti yake huku akimshikilia mkono, akiwa amekaa kwenye kiti cha gari: _“Binti yangu, enenda pamoja na Mungu na hebu aweze kukulinda.”_
Binti akajibu: _“Labda kama Mungu huyo akisafiri pamoja nasi akiwa amekaa ndani ya buti, kwa sababu ndani humu tayari pamejaa!”_ Saa kadhaa baadaye, habari zikaja kwamba walikuwa wamepata ajali mbaya sana na kila mmoja alikuwa amekufa. Gari lilikuwa limeharibika vibaya sana na halikuweza kutambulika vizuri kwamba lilikuwa la aina gani. Lakini, cha ajabu, buti la gari lilikuwa zima kabisa. Maafisa wa polisi walisema kwamba hakuna namna yoyote ya kawaida ambayo ingewezesha buti hilo kubaki salama. Kwa mshangao wao, ndani ya buti hilo mlikuwa na trei ya mayai, na hakuna hata moja lililopasuka!
*(6) Christine Hewitt (mwandishi wa habari, mchekeshaji, raia wa Jamaika)* alisema kwamba Neno la Mungu (Biblia) ni Kitabu kibaya kabisa miongoni mwa vitabu vyote vilivyowahi kuandikwa. Mnamo mwezi Juni 2006 alikutwa akiwa ameungua vibaya sana kiasi cha kutotambulika vizuri, ndani ya gari lake!
Kinachosikitisha, watu wengi wamesahau kwamba Mungu yupo na bado anaishi milele! Biblia inasema, _“Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema.”_ 1 Petro 5:5. _“Kiburi cha mtu kitamshusha; Bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa.”_ Mithali 29:23. Hebu kwa moyo wa dhati kabisa soma ombi hili kisha chukua hatua MAALUM KABISA kulingana na ombi hili, fanya jambo hilo sasa havi: *“Bwana Mungu, tangu sasa nakubali kwa unyenyekevu upendo na msamaha Wako usio na masharti. Unahitaji niishi kwa kukupendeza Wewe na kukutumikia Wewe na kuishi pamoja Nawe milele. Sasa, nafanya uamuzi makini kabisa wa kutegemea neema Yako iokoayo ili kuyabadilisha maisha yangu yote. Naamini hili, tafadhali Baba mwema nisaidie sana ili nichukue hatua MAALUM KABISA kulingana na ombi hili, nikimaanisha hivyo, kwa sababu hili ni suala la uzima wa milele!* _“Kwani atafaidiwa nini mtu akiupata ulimwengu wote, na kupata hasara ya nafsi yake? Au mtu atatoa nini badala ya nafsi yake?”_ Mathayo 16:26. _“Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili; kwa maana atamchukia huyu, na kumpenda huyu; ama atashikamana na huyu, na kumdharau huyu”_ (Mathayo 6:24).
*TAFADHALI NDUGU MPENDWA SAMBAZA UJUMBE HUU MUHIMU NA WA HARAKA MARA NYINGI NA KWA WENGI KADIRI IWEZEKANAVYO: WAPENDWA WAKO, MARAFIKI ZAKO, WENZAKO, WAFANYAKAZI WENZA, WANAFAMILIA, MAJIRANI, WATU ULIOKUTANA NAO, NA KILA MMOJA UNAYEMFAHAMU, ILI KUYAOKOA MAISHA YAO YA THAMANI!!! ILI KUYAPATIA MAISHA YAO MAANA MPYA NA MWANZO MPYA!!!*
No comments:
Post a Comment