TUOMBE KWA AJILI YA WANAUME.
.1.Atapiga offer za kutosha bar lakini nyumbani harudi hata na fanta ya kopo
Waondolee sifa za kijinga babaπππ
2.Ana pair moja ya soksi akivua humo ndani mtafutano
Wasafishe mwili na roho babaππ
3.anarudi usiku wa manane ila sharti amkute mkewe hajalala ili afunguliwe mlango
Sio wao baba teta naoπ π π
4.mchepuko unanunuliwa nyama daily, wakati watoto na mama wamekuwa sungura kwa kula majani kila Leo
Warudishe njia kuu baba
5.hawataki kabisa simu zikaguliwe na wake zao kila program imewekwa password
Waongezee uaminifu babaπππ
6.akichinjwa kuku basi wao hupewa mapaja filigisi na sehemu zingine nzuri
Wape uchu wa kupenda vipapatio na shingo za kuku babaπππ
7.house girl akijichanganya kapewa mimba
Waepushe na tamaa za mwili babaπππ
8.ameshika ratiba ya mpira wa uingereza kuliko mahitaji ya msingi ya nyumbani.
Wajaze baraka za kujali babaπππ
9.ifikapo siku za ibada wengi hawaendi, huwatuma wake zao wakawaombee
Siku ya hukumu kila mmoja abebe msalaba wake babaπ’π’π’
10.kwenye simu ataandika majina ya chinga,Braza,na Fidelis muosha magari kumbe hao ni ASHURA na Margret na *Salome*
ππππππππ
Waumbue babaππππ
No comments:
Post a Comment